École
Date de la visite
Nombre de moniteurs
12
Réponses
- Je, madarasa yote na majengo mengine ya shule yana ukubwa unaofaa kwa idadi ya wanafunzi?Ndiyo
- Je, majengo yote yana madirisha na milango ya kutosha kwa ajili ya kuingia, mwanga na hewa ya kutosha?Ndiyo
- Je, majengo yote yanafikika kwa watu wenye ulemavu?Ndiyo
- Je, majengo yote yana viti, meza, madawati, ubao na samani nyingine zinazofaa za kutosha?Ndiyo
- Je, vyoo vyote viko katika hali nzuri, na vinaweza kufungwa kwa ndani?Ndiyo
- Je, maji safi yanapatikana katika maeneo ya kutosha, na je, yanatoka chanzo kinachofaa, yanatibiwa na kuhifadhiwa ipasavyo?Ndiyo
- Je, maeneo yote ya shule yanawekwa safi, na taka zote zinaondolewa mara kwa mara na ipasavyo?Ndiyo
- Je, miundombinu ya shule inatunzwa vizuri? Kwa mfano, je, sakafu na viwanja vinawekwa katika hali nzuri, na vitu vilivyovunjika vinarekebishwa kwa wakati?Ndiyo
- Je, kuna kitu chochote katika mazingira ya shule kinacholeta hatari dhahiri kwa wanafunzi?Hapana
- Je, ratiba za shule ziko wazi na zinapatikana kwa wote wanaozihitaji?Ndiyo
- Je, masomo yote yanafanyika kulingana na ratiba?Ndiyo
- Je, masomo yote yanafundishwa na mwalimu mwenye ujuzi?Ndiyo
- Je, kuna vifaa vya kufundishia vyenye ubora vya kutosha katika masomo? Kwa mfano, vitabu vya kiada na vifaa vya kuandikiaNdiyo
- Je, shule inafuata utaratibu unaofaa wa kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi? Kwa mfano, daftari la mahudhurio au kupanga wanafunzi mstariNdiyo
- Je, shule ina maktaba inayopatikana kwa wanafunzi wote wanaoihitaji?Ndiyo
- Je, maktaba ina vifaa vya kutosha?Ndiyo
- Je, kuna taarifa zozote za ukosefu wa uadilifu miongoni mwa wafanyakazi wa shule? Kwa mfano, je, walimu wanaomba pesa za ziada juu ya ada ya shule iliyowekwa?Hapana
- Je, kuna utaratibu wazi ambao wanafunzi au wazazi wanaweza kufuata wakiwa na malalamiko kuhusu wafanyakazi wa shule?Ndiyo
- Kwa ujumla, ungeelezaje kiwango cha ushiriki na ushirikiano wa uongozi wa shule na Klabu yako ya Uadilifu?Hawashirikiani sana