Visite : DÉMO – Latrines séparées filles / garçons — Centre de formation Mwangaza, 2026-03-07

Date de la visite
Nombre de moniteurs
5
Réponses
  • Je, umepokea nakala kamili na sahihi ya orodha ya vifaa na gharama (bill of quantities) ya mradi huu?
    Ndiyo
  • Je, kamati ya usimamizi wa mradi imeundwa kwa ajili ya mradi huu?
    Ndiyo
  • Je, wafanyakazi wengi wa mradi huu wanatoka eneo hili?
    Hapana
  • Je, wafanyakazi wamepewa vifaa sahihi vya usalama?
    Ndiyo
  • Je, mradi unatumia vifaa vya aina na ubora sahihi?
    Hapana
  • Je, mradi una kiasi sahihi cha vifaa?
    Ndiyo
  • Je, kazi zote za ujenzi zinafanywa kwa kiwango sahihi? Kwa mfano, je, misingi au mashimo ya vyoo yanachimbwa kwa kina sahihi?
    Ndiyo
  • Je, kazi ya ujenzi inasababisha uharibifu usio wa lazima kwa mazingira ya eneo hili?
    Ndiyo
  • Je, mradi ukikamilika utafikika kwa watu wenye ulemavu?
    Ndiyo
  • Je, eneo la ujenzi limezungushiwa uzio ipasavyo, au limewekwa salama kwa njia nyingine kwa ajili ya jamii?
    Ndiyo
  • Je, vifaa vinahifadhiwa kwa usalama na ipasavyo, ili visiharibike, visilete madhara na vitu vya thamani visiibiwe?
    Ndiyo
  • Je, kuna dalili zozote za vifaa kuibiwa, kuharibiwa au kutumiwa vibaya?
    Hapana
  • Je, kuna dalili wazi za rushwa katika mradi huu?
    Hapana
  • Je, kazi ya mradi huu imesimamishwa au kuchelewa kwa sababu yoyote ambayo haijatajwa tayari?
    Hapana
  • Je, mkandarasi au mkandarasi msaidizi amelalamika kwamba hana pesa za kutosha?
    Hapana
  • Je, wafanyakazi wamelalamika kwamba hawajalipwa ipasavyo?
    Hapana
  • Je, kuna taarifa za umma zinazoonekana wazi katika eneo la ujenzi zinazoeleza kuhusu mradi, pamoja na nani wa kuwasiliana naye kwa maswali?
    Ndiyo
  • Ungeelezaje kiwango cha ushiriki na ushirikiano wa kamati ya usimamizi wa mradi katika shughuli za ufuatiliaji?
    Wanashirikiana
  • Ungeelezaje kiwango cha ushiriki wa jamii ya eneo hili katika mradi huu?
    Haishiriki sana